Wednesday, 12 November 2014

Msanii mkali wa tanzania jeezy mabovu afariki dunia si mda mrefu leo tarehe 12/12 / 2014 huko irnga. R.I.P

Kabla mwaka 2014 haujaisha idadi ya
watu maarufu wa Tanzania waliotangulia
mbele za haki imezidi kuongezeka na hii
ni baada ya taarifa kutoka Iringa zilizoanza
kusambaa kuanzia saa tatu usiku
November 11 2014.
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper
Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye
muziki wa hiphop Tanzania, amefariki
dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa
nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki
mbili zilizopita kutokea Dar es salaam. Kafa ucku huu

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...