Wednesday, 25 November 2015

kama hujabahatika kutazama ile video ya dancing ya justine bieber - sorry itazame na idownload hapa .

Papa Francis ahamishia ziara zake barani Afrika ,neema ya mugu hii,tazama matukio katika picha .



12:36 Huyu hapa ni Papa Francis akiabiri ndege. Ndege yake ishaondoka uwanja wa ndege wa Fiumicino, Roma kuelekea Nairobi Kenya.
Image copyrightAFP
12:11 Wakenya wanaendelea kujiandaa kumpokea Papa Francis baadaye leo. Barabarani na katika majumba, kuna mabando ya kumkaribisha Papa.
10:47 Magazeti ya Kenya yalivyoandika kuhusu ziara ya Papa Francis.
10:39 Makundi mbalimbali yamekuwa yakijiandaa kumlaki Papa Francis. Mfano ni watoto hawa kutoka kanisa la St Martins.
Hii hapa nayo ni kwaya ya pamoja ambayo itamwimbia Papa Francis.
10:33 Ndege ya Papa Francis imepaa kutoka uwanja wa ndege wa Fiumicino, Roma, ikiwa imechelewa kwa karibu robo saa. Anatarajiwa kuwasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta saa 17:00.
10:00 Hujambo! Karibu tukupashe yanayojiri katika ziara ya Papa Francis barani Afrika ambayo itamfikisha Kenya, Uganda na Jamhuri ya Afrika ya Kati.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...