NI mambo ya kushangaza sana ambayo yamenaswa na Gazeti la Uwazi katika Kisiwa cha Mafia Mkoa wa Pwani ambapo mwanamke mmoja aitwaye Mwasiti Ally wa Kijiji cha Kanga, amewafungia wanaye watatu kwa miaka kumi ndani ya chumba kimoja kwa madai kuwa ni wagonjwa wa akili.
Wednesday, 1 April 2015
ONA PICHA NA MAJAABU YA MWANAMKE ALIYEWAFUNGIA WATOTO NDANI MIAKA 10.
NI mambo ya kushangaza sana ambayo yamenaswa na Gazeti la Uwazi katika Kisiwa cha Mafia Mkoa wa Pwani ambapo mwanamke mmoja aitwaye Mwasiti Ally wa Kijiji cha Kanga, amewafungia wanaye watatu kwa miaka kumi ndani ya chumba kimoja kwa madai kuwa ni wagonjwa wa akili.
JIONEE ITALY ILIVYOIKAZIA UINGEREZA JANA USIKU.
Pamoja na kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu kwenye vita ya pili ya dunia,usiku wa kuamkia leo, Italy imekuwa mwenyeji dhidi ya England katika moja ya michezo ya kimataifa ya kirafiki kwa mjibu kalenda ya FIFA.
Kwenye pambano hilo wababe hao walishia kutunishiana misuli tu baada ya kutoka sare ya 1-1. Nayo Uholanzi ililipa kisasi cha fainali za mwaka 2010, baada ya kuisambaratisha Hispania bao 2-0. Ureno wakicheza bila Christian Ronaldo, walikiona cha moto baada ya kuadhibiwa nyumbani bao 2 kwa nunge dhidi ya Cape Verde, huku Sweden wakiichabanga Irani mabao 3-1. Leo hii viwanja viwili vitakuwa tabuni, pale Argentina itakapowavaa Ecuado huku Mexico ikiivaa Paraguay.
wazazi na walezi wanatakiwa na wanapaswa kudhibiti unene wa watoto wao kuepu haya.
Wazazi wengi wanapuuza dalili za mapema kuwa watoto wao wamenenepa kupita kiasi.
Madaktari wanasema kuwa wazazi wengi hawajui madhara ya afya kwa watoto walionenepa kupita kiasi.
Katika utafiti huo uliowajumuisha zaidi ya familia 2,976 nchini Uingereza ni wazazi 4 pekee waliokuwa na shauku kuwa mtoto wao alikuwa amenenepa kupita kiasi.
Madaktari wenye walikuwa wamewatambua watoto 369 kati yao waliokuwa na kiwango cha juu cha mafuta mwilini.
Takwimu hizo zinaonesha kuwa watoto walionenepa kupita kiasi sasa wamekuwa kawaida tu majumbani.
Watafiti hao wanaonya kuwa hili ni janga kwa afya ya jamii.
Aidha utafiti huo ulielezea kuwa takriban mtoto mmoja kati ya watano ambao wanaumri wa miaka 6 tayari wanauzito unaozidi kadri kwa asilimia 14%.
Kundi hilo la watafiti kutoka taasisi ya usafi ya Uingereza ''London School of Hygiene and Tropical Medicine'' lilizitembela familia 3,000 na kuwahoji iwapo watoto wao walikuwa ni wanene kupita kiasi wastani ama webamba?
majibu yao yaliwaduwaza.
Takriban thuluthi moja 31% ya wazazi walidunisha uzani wa watoto wao.
Proffesa Russell Viner, wa chuo cha Afya ya Watoto aliiambia BBC kuwa wazazi wa kisasa wanamajukumu wengi na hivyo watoto wao hutunzwa na vijakazi asilimia kubwa ya muda ambao wazazi wako makazini mwao.
''Hili ni janga ambalo linatokota ,madhara yake yataonekana siku za usoni katika njia ya maradhi mengi tu yanayohusiani na unene'' alisema Professa Viner.
Kwa mujibu wa Dakta Dame Sally Davies, ''Afya ya watoto kwa sasa imehujumiwa na dhana kuwa japo mtu ni mnene jamii haitambagua kwani watu wengi duniani ni wanene''
"Nafikiri kwamba itatubidi tuwaelimishe wazazi kuhusiana na maswala ya afya ya watoto wao na pia kuwaeleza kuwa wanapaswa kufuatilia kwa karibu unene au sio wa watoto wao''
Anapendekeza kuwa sheria madhubuti zinapaswa kutungwa ilikuzima matangazo ya kufana ya vyakula vyenye mafuta mengi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...