Makumi kwa maelfu ya mashambiki wa
mpira wa miguu nchini Ujerumani
wametoa mapokezi ya kishujaa kwa timu
yao iliyoshinda Kombe la dunia mjini
Berlin.
Sherehe kubwa zilifanyika katika eneo la
Brandenburg Gate, ambako wachezaji
walilionyesha kombe la dunia katika
jukwaa kubwa wakati wakicheza muziki.
Watu wengi walikusanyika kuwapokea
wachezaji hao walioshuka kutoka Brazil
leo huku makundi makubwa ya watu
yakieleka mjini kwa mapokezi hayo
makubwa.
Wednesday, 16 July 2014
BATA MREFU ALIVYOLIWA HUKO UJERUMANI KILA NCHI INATAMANI ILA TANZANIA MSAHAU KWA MIAKA HII YA USONI.
UTAJIRI WA MR NICE ULIKUA NI KUFURU , HAIJAWAHI TOKEA KWA MSANII YOYOTE HAPA BONGO DIAMOND TUPA KULE. SOMA HAPA UJUE ALICHOBAKI NACHO SASA
Mr.Nice
akifunguka
kuhusu
utajiri wake
ulivyotoweka ghafla!. Katika hali
yakushangaza, Lucas Mkenda au
maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka
kuhusu utajiri wake na sababu za
kushuka kwake kimuziki, katika moja ya
interview.
Mr.Nice alidai kuwa hajui ni nini haswa
kilichotokea ila yote hayo ni mipango tu
ya Mungu. Mr.nice alizidi kufunguka na
kusema kuwa, alikuwa na jumla ya zaidi
ya shilingi bilioni 1.5 zote zikiwa katika
account mbalimbali hapa nchini, na hela
zote hizo zimetoweka katika kipindi cha
muda mfupi bila yeye kujua
zimetumikaje.
“Kaka naweza kusema hii ni mipango ya
Mungu tu, kwani sikuwahi kumdhulumu
mtu wala kuiba cha mtu, pesa yote
nilikuwa naipata kwa hali, naweza
kusema hii ni mipango ya Mungu tu wala
si mkono wa mtu” alisema Mr.Nice.
“Niliwahi kumiliki zaidi ya milioni elfu
moja na mia tano kwenye bank tofauti
hapa nchini, pesa hizo zilitokana na
kufanya shoo nyingi za nje ya nchi kama.
Marekani,Uingereza, Ujerumani,
Sweden, Holand, Dubai, SouthAfrica na
kwingineko, na kila shoo nilikuwa napata
pesa ndefu sana”
Alimalizia star huyo kutoka Tzee na
mwanzilishi wa staili ya TAKEU.
Mbali na kushuka kwake kimuziki
Mr.Nice anakiri kuwa ana-miss sana enzi
hizo kwenye show zake zisizoweza
kusahaulika na machozi huwa
yanamtoka kila akumbukapo show
aliyopiga nchini Rwanda. Ambapo hadi
waziri wa nchini humo aliweza
kumsubiria airport kumpokea tena
kwenye red carpet huku akisindikizwa
na magari ya polisi, pamoja na
mashabiki wake lukuki waliojaza uwanja
huo wa ndege kushuhudia ujio wake.
ALICHOKIAMUA CHRISS BROWN HUKO KICHWANI KWAKE ME HATA SIMO , TAZAMA NA UTOE MAONI JUU YA HILI HAPO CHINI
Chris Brown hivi sasa ameingia kwenye
headline na style yake mpya ya nywele
ambayo ilikuwa maarufu sana kwa mastaa
wa zamani.
Chris Briwn hatakuwa tena na nywele za
brown lakini utamuona na nywele zenye
wave kichwani na amezichana kwenye
mafungu mawili akiacha way upande wa
kulia.
Chris Breezy ali post picha yake na
kuandika,”Taking it back to the 30s! Lol!,”.
Unadhani amependeza na style hii au
bora akiwa na nywere za kawaida au zile
za brown. Comment mawazo yako.
JE UMEWAHI KUBAHATIKA KUWAONA JOH MAKINI NA NIKKI WA PILI WAKIWA NA UMRI MDOGO CHINI YA MIAKA MITANO? WATAZAME HAPA WAKIWA NA MAMA YAO.
Hii picha ni kwa hisani ya instagram
account ya Nikki wa pili ambapo picha
yenyewe inawaonyesha Nikki wa pili, Joh
Makini wakiwa na mama yao.
KAMA HUJAIONA ILE SAA YA DAVIDO ALIYOINUNUA YA MILLION 60 IONE HAPA.
Msanii wa muziki kutoka Nigeria hit maker
wa ‘Aye’, Davido ameamua kuzitumia
ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea
jasho. Davido ametumia kiasi cha zaidi ya
milioni 60 kununua saa ya dhahabu aina
ya ‘Gold Rolex Sky-Dweller’.
Mkali huyo wa ‘Skelewu’ kupitia instagram
ameandika: ‘Been working too hard lately
so l decided to spoil myself’.
DIAMOND AFURAHISHWA NA KITENDO CHA VIJANA WAJASIRIAMALI WANAOTENGENEZA NA KUBUNI TESHETI KWA KUTUMIA SURA YAKE .
Hit maker wa My Number One, Diamond
Platinumz amesema anajisikia furaha
kuona vijana wakijitafutia riziki kwa kuuza
T-shirts zenye picha yake.
“Kuwekwa tu pale kwangu mimi
nimefurahi, nisiwe mnafiki. Siwezi kusema
nimesikia uchungu eti kwa nini ametumia
sura yangu. Yaani nimefurahi kwa sababu
ninaona kama taifa limeni-appreciate kazi
yangu na mtu katengeneza t-shirts na
kauza imeuzika kweli kwa sababu inaweza
kuwekwa bwana ‘Salam’ isiuzike (kicheko)
…mimi kwangu ni rukhsa” Diamond
amefunguka katika kipindi cha The Jump
Off cha 100.5 Times Fm.
Diamond pia amewaruhusu pia watu
wenye salon kutumia picha zake.
Hata hivyo, ametahadharisha kutotumia
brand ya ‘Wasafi Classic’ kwa sababu hiyo
ni brand yake. “Labda mtu atumie
‘Wasafi’, hapo tatizo lingine.”
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...