Monday, 2 May 2016

Mpya: Kayumba Wa BSS ft. Enock Bella - "Kipepeo audio.download na sikilIza hapa.

Mpya: Kayumba ft. Enock Bella - "Kipepeo audio.download na sikilza hapa

Mpya:download na sikiliza audio Ben Pol & Baraka Da Prince Ft Mr Blue - MWAMBIE

exclusive download na sikiliza single mpya ya Harmonize na Raymond - PENZI.

Miili ya waliotoweka na kupotea miaka 16 iliyopita yapatikana


Image copyright Alex Lowe Foundation
Image caption Alex (kushoto) akiwa na Anker
Miili ya wakwea milima wawili kutoka Marekani waliotoweka katika milima ya Himalaya miaka 16 iliyopita imepatikana.
Mkwea milima maarufu duniani Alex Lowe alikuwa akikwea katika kilele cha Shishapangma chenye urefu wa 8,013m (26,290ft) eneo la Tibet Oktoba 1999 akiwa na mpiga picha David Bridges mkasa ulipotokea.
Wawili hao walifukiwa na maporomoko ya theluji.
Miili yao ilionekana na wakwea milima wawili wiki iliyopita ikiwa bado imekwama kwenye theluji.
Lowe
Image copyright ALEX LOWE FOUNDATION
Image caption Lowe alikuwa mkwea milima stadi
Bw Lowe, 40, alitambuliwa kama mmoja wa wakwea milima stadi zaidi wa kizazi chake na aliokoa wakwea milima wengi sana milimani.
Yeye na Bridges, 29, walikuwa marafiki wakuu na walikuwa wakitafuta njia mpya ya kukwea mlima Shishapangma , mlima wa 14 kwa urefu duniani.
Mkewe Lowe, Jennifer Lowe-Anker, amesema kupatikana kwa mwili wa mumewe kutasaidia familia yake kutulia.
Jennifer baadaye aliolewa na Conrad Anker mwaka 2001.

Image copyright ALEX LOWE FOUNDATION
Anker alikuwa na wakwea milima hao wawili wakati wa mkasa lakini alinusurika akiwa na majeraha madogo.
Baadaye, yeye na wenzake wengine walitafuta wawili hao kwa siku nyingi bila mafanikio.

Maelfu ya watu watarajiwa kujitokeza kumuaga Papa Wemba.


Papa Wemba

Image copyright
Image captionMwili wa Papa Wemba utazikwa Jumatano
Maelfu ya watu wanatarajiwa kujitokeza leo mjini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoa heshima zao za mwisho kwa mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za rumba Papa Wemba.
Leo ndiyo ni siku ya kwanza ya kipindi cha siku tatu za maombolezo rasmi ya kumuenzi mwanamuziki huyo nchini humo.
Wemba, 66, aliyesifika kote duniani kama mmoja wa wanamuziki nguli wa nyimbo za rumba kutoka DR Congo, alifariki baada ya kuzirai akitumbuiza mjini Abidjanwiki moja iliyopita.
Alipendwa sana na mashabiki kwa nyimbo zake na pia mtindo wake wa mavazi.
Wemba

Image captionMwili wa Papa Wemba ulisafirishwa hadi Kinshasa Alhamisi
Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, anatarajiwa kuzikwa Jumatano.
Rais Joseph Kabila ni miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria ibada ya wafu leo kwa heshima ya marehemu mjini Kinshasa.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...