Friday, 8 May 2015

tazama picha nyingi zaidi za mafuriko jijini dar es salaam hapa.





hii ndio hali halisi  jijini dar baada ya siku kadhaa . 
pia imeripotiwa na kamanda wa polisi  kuwa hadi hivi saa zaidi ya watu nane wameshapoteza maisha kutokana na mvua hizi kubwa zinazoendelea. 













































































Watu nane wafa kwa mafuriko ya mvua Dar es Salaam


Watu nane wamekufa na mamia kukosa makazi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika jiji la Dar es Salaam hapa  nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau aliyepo jijini Dar es Salaam mvua hizo zimekuwa zikinyesha mfulullizo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu pamoja baadhi ya watu kukosa makazi yao.
Kumekuwa na foleni kubwa ya magari na baadhi ya watu wamechelewa kwenda na kurudi kazini.
Mamlaka ya hali hewa nchini imetahadharisha kuwa mvua hizo zinaweza kuendelea japo zitapungua kidogo.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...