Thursday, 14 August 2014

TRENI ZAPATA AJALI YA KUSIKITISHA ONA HAPA

2Treni iliyokuwa imebeba abiria zaidi ya 200 imepata ajali kwa kuteleza pembeni ya reli na kusababisha baadhi ya mabehewa kuwa nje ya reli ambapo abiria waliokuwemo ndani ya treni hiyo walilazimika kukimbilia upande wa pili wa treni ili kuepuka lisidondoke kwenye maporomoko.
Juhudi hizo zilisaidia na hakuna mtu aliyefariki kwenye hiyo ajali lakini watu 11 walipata majeraha na watano kati yao kupata majeraha makubwa kwenye hii ajali iliyotokea nchini Uswisi.
1
3
4
5
6
7

Hili ndilo toleo jipya la Bugatti na kulipata moja ni zaidi ya Tsh bilioni 5

b1Bugatti ni moja ya magari machache yenye gharama kubwa sana duniani ambayo mara nyingi humilikiwa na watu wenye kipato kikubwa tu ambapo kampuni inayotengeneza magari hayo imetoa matoleo matatu ya lengend edition na hii ya sasa hivi ndiyo ya mwisho kwenye edition hii.
Toleo hili la tatu yatatengenezwa magari matatu tu ambayo kila moja litauzwa kwa $3.14 million.
b2
b3
b4

MSANII WA KIZAZI KIPYA AFANDE SELE APATWA NA MSIBA WA ALIEKUA MKE WAKE YANI MAMA WA MWANAE AITWAE TUNDA. SOMA HAPA KWA MARA YA KWANZA NA INNOSAM




Screen Shot 2014-08-14 at 11.10.46 AM
Msanii wa longtime kwenye bongofleva Afande Sele amewajulisha watu wake wa karibu na mashabiki kuhusu msiba uliomkuta kwa kufiwa na mama wa wanae.


Screen Shot 2014-08-14 at 11.12.56 AM
Kutoka kulia n




Kupitia ukurasa wa facebook Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!! Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi ni waja wa mwenyezi mungu na hakika kwake tutarejea; mungu ampumzishe pema.”






CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...