Tuesday, 7 June 2016

Takribani watu 100 watekwa na waasi huko DRC, soma hii na tazama,

Image copyrightAFP
Image captionKiongozi wa LRA Joseph Kony.
Karibu wapiganaji 50 wanaoamika kutoka kundi la Lord's Resitance Army (LRA) la nchini Uganda, waliendesha uvamizi mishoni mwa wiki katika eneo lililo umbali wa kilomita 500 kaskazini mwa mkoa wa Kisangani nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.
Karibu watu 100 wanaaminika kutekwa nyara wakati wa uvamizi huo. Wale waliotekwa wanaripotiwa kulazimishwa kubeba mali ambayo wapiganaji hao walikuwa wamepora.
Wanafunzi ambao walikuwa wamesafiri kutoka vijiji vilivyo karibu kuja kufanya mtihani wa kitafa wa shule ya msingi, wakiwemo wafanyibiashara na wauguzi waliokuwa wakitoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa uti wa mgongo, ni kati ya wale waliotekwa nyara.
Usimamizi wa eneo la Bondo ambapo kisa hicho kilitokea, unasema kuwa wanajeshi wamewafuata wapiganaji hao kwenda msitu wa Adama yaliko maficho yao.
Kundi la LRA lilianzishwa nchini Uganda karibu miongo mitatu iliyopita, lakini likahamia nchi zingine majirani kutokana oparesheni iliyokuwa ikiendeshwa na jeshi la Uganda.

Lenox na Will Smith kubeba jeneza la Ali

Image captionWill Smith na Muhammad Ali
Msanii mashuhuri wa filamu nchini Marekani, Will Smith na aliyekuwa bingwa wa dunia wa uzani wa juu Lennox Lewis, wameteuliwa kuwa miongoni mwa watu watakaobeba jeneza la bondia bingwa mara tatu duniani marehemu Muhammed Ali.
Mwaka wa 2001 Smith aliigiza katika filamu kumhusu Muhammad Ali kama Ali, jambo lilimsababisha kuteuliwa katika tuzo la Oscar.
Tangu hapo amekuwa rafiki wa familia hiyo ya Muhammad Ali.
Lewis kwa upande wake ni miongoni mwa mabondia watatu kwa pamoja na Ali na Evander Holyfeild ambao wamewahishinda taji la uzani wa juu mara tatu.
Image copyrightGETTY IMAGES
Image captionWawili hao sasa wataungana na jamaa na marafiki kuubeba jeneza la Ali, mjini Kentucky siku ya Ijumaa
Wawili hao sasa wataungana na jamaa na marafiki kuubeba jeneza la Ali, mjini Kentucky siku ya Ijumaa wakati wa mazishi yake.
Ali alifariki siku ya Ijumaa mjini Arizona alikokuwa amelazwa hospitalini akiwa na umri wa miaka 74.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...