Thursday, 2 July 2015
waone hawa watoto wa mtaani wanaojipatia mkwanya mrefu kwa sasa
walijituma sasa wanakula matunda yao huko uganda chini ya msanii eddy kenzo,
huyu dada amepigwa mawe hadi kifo huko Afghanistan. kisa kudaiwa kuiteketeza Koran.
Makundi ya kutetea maslahi ya wanawake yameghadhabishwa na mahakama ya
rufaa nchini Afghanistan ambapo imebatilisha hukumu ya kifo dhidi ya
wanaume wanne waliohusika na mauaji ya mwanamke mjini Kabul mwezi Machi.
Wakili
wa familia ya mwanamke huyo amelalamikia mahakama hiyo kwa kuendesha
uwamuzi wake faraghani. Naye kakake marehemu amesema uwamuzi huo ni
ukiukaji mkubwa wa haki.Mahakama ya rufaa pia imemuachia huru msimamizi wa msikiti huo.
Subscribe to:
Posts (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...
-
Image caption Uganda haipaswi kuzuia upinzani, Obasanjo Aliyekuwa rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, ametaka pande zote pinza...
-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...