Makundi ya kutetea maslahi ya wanawake yameghadhabishwa na mahakama ya
rufaa nchini Afghanistan ambapo imebatilisha hukumu ya kifo dhidi ya
wanaume wanne waliohusika na mauaji ya mwanamke mjini Kabul mwezi Machi.
Wakili
wa familia ya mwanamke huyo amelalamikia mahakama hiyo kwa kuendesha
uwamuzi wake faraghani. Naye kakake marehemu amesema uwamuzi huo ni
ukiukaji mkubwa wa haki.Mahakama ya rufaa pia imemuachia huru msimamizi wa msikiti huo.
No comments:
Post a Comment