Wednesday, 13 May 2015

mtu kwao: manny pacquiao huyu hapa alivyowasili kwao ufilinipo


pac8Bondia Pacquiao akirejea ufilipino nyumbani  
pac5
pac10
pac3
pac2Pacquiao alipigwa kwa pointi na mpinzani wake na mara baada ya pambano kuliibuka lawama kuhusu bondia huyo kucheza huku akiwa mgonjwa
pac4
pac6
pac7
pac8
ndani

siti mtemvu:ni yule miss aliyevuliwa umiss, mara hii mtamkoma tuu . ujio wake huu hapa




Sitti 1Mrembo Sitti Mtemvu zaidi ya wiki moja iliyopita alivileta kwa Watanzania vitu vyake vikubwa ambacho vitaendelea kumuweka kwenye headlines ikiwemo kitabu kiitwacho ‘Chozi la Sitti‘ pamoja na TV show yake ambayo itaanza kuonekana soon kwenye TV na anatarajia kionekane na kwenye DSTV pia.



Walikuwepo watu mbalimbali maarufu wa Tanzania wakiwemo viongozi wa serikali kama Waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Sophia Simba na Naibu waziri Adam Malima kutoka Wizara ya Fedha ambapo Kitu kingine alichokileta Sitti ni Foundation yakeSitti Tanzania Foundation.
Image result for sitti mtemvu avuliwa taji
Sitti 2Kwenye mfululizo wa hizi picha pia kuna picha ya gari alilozawadiwa Sitti na wazazi wake….. kwa furaha akaandika ‘Wazazi wangu wamenizawadia gari la mwaka 2015, asante kwa mama na baba
Ni gari ambalo badala ya namba za kawaida limeandikwa jina, utaratibu ambao unaruhusiwa sasa hivi kwa Tanzania ambapo mwanzoni wakati wanatangaza huu utaratibu walisema mwenye kutaka jina badala ya namba kwenye gari atalipia shilingi MILIONI 5 kwa miaka mitatu.

NCHI YA NEPAL YAKUMBWA NA TETEMEKO JINGINE JANA BAADA YA LIEL LA WIKI ILIYOPITA LILIOUWA ZAIDI YA WATU 8000. TAZAMA HAPA


Shughuli ya uokozi zakwama upya Nepal
Wafanyikazi wa mashirika ya kutoa misaada wamesema kuwa tetemeko la hapo jana nchini Nepal limeathiri kwa kiasi kikubwa
juhudi za kutoa misaada kwa waathiriwa wa tetemeko la awali lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 8000 takriban majuma mawili yaliyopita.
Mashirika ya misaada yanasema kuwa maporomoko mapya ya ardhi sasa yemekatiza usafiri baada ya kuziba mabarabara yaliyokuwa yamesazwa na tetemeko la awali.
Hadi kufikia sasa inakisiwa kuwa takriban watu 65 wamepoteza maisha yao nchini Nepal huko maafa zaidi yakitarajiwa nchini India na Tibet ,China.
Shughuli za uokozi zimerejelewa Nepal, ambayo kwa mara ya pili ndani ya wiki tatu imekumbwa na tetemeko kubwa la ardhi.
Wahathiriwa wengi wameripotiwa kufunikwa na vifusi karibu na kitovu cha tetemeko hilo katika mji wa Chautara
Lakini bado kuna watu waliozikwa kwenye vifusi.
Maafisa wa huko wanasema kuwa wanatarajia idadi hiyo kuongezeka.
Kufikia sasa takriban watu 1,000 wamejeruhiwa na tetemeko hilo lipya.
Waathiriwa wengi wameripotiwa kufunikwa na vifusi karibu na kitovu cha tetemeko hilo katika mji wa Chautara
Watu wengi wamelala nje wakihofia kuwa wanaweza kuathirika zaidi wakiwa ndani ya nyumba zao.
Hadi kufikia sasa inakisiwa kuwa takriban watu 65 wamepoteza maisha yao
Wakati huo huo helikopta ya kikosi cha majini cha Marekani,ambayo ilikuwa ikifanya kazi ya kusaidia kusambaza huduma za kibinaadamu nchini Nepal, haijulikani iliko.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa, ndani ya helikopta hiyo kulikuwa na watu wanane,miongoni mwao, sita ni askari wa kikosi cha majini cha Marekani na askari wawili wa jeshi la Nepal.
Maofisa wa serikali wa Marekani wamesema kwamba helikopta hiyo ilikuwa maeneo ya jirani na kijiji cha Charikot, ambacho kiliharibiwa vibaya na tetemeko la ardhi.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...