Wednesday, 15 July 2015

kuolewa Uhispania ni miaka 16.tazama hii kutoka kwa wenzetu walioendelea huko ulaya.


Harusi uhispania
Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.
Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji.
Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...