Tuesday, 2 June 2015

yule baba wa kim kadashian aliyejibadilisha nyeti na kua wa kike huyu hapa na muonekano wake mpya wa kike.tazama uone haya maajabu.




B


caity
Moja ya familia zisizoishiwa vituko na kila mara kuingia kwenye headlines ni pamoja na familia ya Kriss Jenner ambaye ni mama mzazi wa staa maarufu duniani Kim Kardashian.
Baada ya kusambaa kwa muda mrefu habari kuhusu kujibadilisha jinsia kwa baba wa kambo wa Kim Kardashian, aitwaye Bruce Jenner, sasa ni rasmi kuwa baba huyo amejibadilisha jinsia yake na sasa anajulikana kama Caitlyn Jenner.
bruc2
Uamuzi huo umevuta hisia za watu wengi kwenye mitandao ya kijamii, lakini pia umeonekana kupokelewa  tofauti na familia ya akina Kardashian.. mkewe wa zamani ambaye ni Kriss Jenner na familia yake wameonekana kutopendezwa na uamuzi huo japo yeye mwenyewe hana tatizo kabisa na ishu hiyo kama ambavyo wengine wanamchukulia.
bruc
Katika Ukurasa wake mpya wa Twitter alioufungua muda mfupi baada ya kujitangaza na kupata followers wengi, Bruce Jenner ameonesha kufurahishwa na hatua aliyofikia hivi sasa.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...