Sunday, 16 August 2015

Tianjin nchini China Watu 95 hawajulikani waliko Mlipuko kutokana na mlipuko



95 hawajulikani waliko nchini China
Siku nne baada milipuko mikubwa kuukumba mji wa Tianjin nchini China, utawala unasema kuwa bado watu 95 hawajulikani waliko.
Karibu wale wote wasiojulikana waliko ni wazima moto.
Idadi ya watu waliouawa kwenye milipuko hiyo imepanda hadi zaidi ya watu 110.
Wasimamizi wa mitaandao nchini China wamefunga mitandao kadha inayodaiwa kuzua hofu kwa kuchapisha habari zisizokuwa za kweli.
Mapema mamia ya mitandao ya kijamii ilifungwa na utawala kwa kueneza uvumi kuhusu milipuko hiyo.

tazama mafuriko ya watu jana arusha pamoja na viongozi wengine wakubwa waliohamia ukawa.

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...