Monday, 17 August 2015
Chelsea yamsajili Baba Rahman kutoka ghana
Klabu ya soka ya Chelsea imemsajili beki Abdul Rahman Baba kutoka klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani.
Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa beki huyo raia wa Ghana mwenye umri wa miaka 21 katika tovuti ya timu hiyo.Usajili huu umefanyika kuziba nafasi ya beki wa kushoto baada ya Mbrazil luis Filipe kurudi katika timu yake ya zamani ya Atletico Madrid
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho,anaamini mlinzi huyo ataleta ushindani kwa Cesar Azpilicueta katika nafasi ya beki wa kushoto.
Rahman ametumia muda wa miezi 12 na klabu ya Augsburg ambako alisajiliwa akitokea timu ya SpVgg Greuther Fürth Agosti mwaka 2014.
Subscribe to:
Posts (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...
-
Image caption Uganda haipaswi kuzuia upinzani, Obasanjo Aliyekuwa rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, ametaka pande zote pinza...
-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...