Hit maker wa My Number One, Diamond
Platinumz amesema anajisikia furaha
kuona vijana wakijitafutia riziki kwa kuuza
T-shirts zenye picha yake.
“Kuwekwa tu pale kwangu mimi
nimefurahi, nisiwe mnafiki. Siwezi kusema
nimesikia uchungu eti kwa nini ametumia
sura yangu. Yaani nimefurahi kwa sababu
ninaona kama taifa limeni-appreciate kazi
yangu na mtu katengeneza t-shirts na
kauza imeuzika kweli kwa sababu inaweza
kuwekwa bwana ‘Salam’ isiuzike (kicheko)
…mimi kwangu ni rukhsa” Diamond
amefunguka katika kipindi cha The Jump
Off cha 100.5 Times Fm.
Diamond pia amewaruhusu pia watu
wenye salon kutumia picha zake.
Hata hivyo, ametahadharisha kutotumia
brand ya ‘Wasafi Classic’ kwa sababu hiyo
ni brand yake. “Labda mtu atumie
‘Wasafi’, hapo tatizo lingine.”
Wednesday, 16 July 2014
DIAMOND AFURAHISHWA NA KITENDO CHA VIJANA WAJASIRIAMALI WANAOTENGENEZA NA KUBUNI TESHETI KWA KUTUMIA SURA YAKE .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...
No comments:
Post a Comment