Mr.Nice
akifunguka
kuhusu
utajiri wake
ulivyotoweka ghafla!. Katika hali
yakushangaza, Lucas Mkenda au
maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka
kuhusu utajiri wake na sababu za
kushuka kwake kimuziki, katika moja ya
interview.
Mr.Nice alidai kuwa hajui ni nini haswa
kilichotokea ila yote hayo ni mipango tu
ya Mungu. Mr.nice alizidi kufunguka na
kusema kuwa, alikuwa na jumla ya zaidi
ya shilingi bilioni 1.5 zote zikiwa katika
account mbalimbali hapa nchini, na hela
zote hizo zimetoweka katika kipindi cha
muda mfupi bila yeye kujua
zimetumikaje.
“Kaka naweza kusema hii ni mipango ya
Mungu tu, kwani sikuwahi kumdhulumu
mtu wala kuiba cha mtu, pesa yote
nilikuwa naipata kwa hali, naweza
kusema hii ni mipango ya Mungu tu wala
si mkono wa mtu” alisema Mr.Nice.
“Niliwahi kumiliki zaidi ya milioni elfu
moja na mia tano kwenye bank tofauti
hapa nchini, pesa hizo zilitokana na
kufanya shoo nyingi za nje ya nchi kama.
Marekani,Uingereza, Ujerumani,
Sweden, Holand, Dubai, SouthAfrica na
kwingineko, na kila shoo nilikuwa napata
pesa ndefu sana”
Alimalizia star huyo kutoka Tzee na
mwanzilishi wa staili ya TAKEU.
Mbali na kushuka kwake kimuziki
Mr.Nice anakiri kuwa ana-miss sana enzi
hizo kwenye show zake zisizoweza
kusahaulika na machozi huwa
yanamtoka kila akumbukapo show
aliyopiga nchini Rwanda. Ambapo hadi
waziri wa nchini humo aliweza
kumsubiria airport kumpokea tena
kwenye red carpet huku akisindikizwa
na magari ya polisi, pamoja na
mashabiki wake lukuki waliojaza uwanja
huo wa ndege kushuhudia ujio wake.
Wednesday, 16 July 2014
UTAJIRI WA MR NICE ULIKUA NI KUFURU , HAIJAWAHI TOKEA KWA MSANII YOYOTE HAPA BONGO DIAMOND TUPA KULE. SOMA HAPA UJUE ALICHOBAKI NACHO SASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...
No comments:
Post a Comment