Thursday, 13 November 2014

EXCLUSSIVE MPYAAAA, ZARI ALIYEPIGA PICHA ZA KIUTATA NA DIAMOND BABY WA WEMA AFUNGUKA CHANZO JIONEE HAPA PICHA HIZO NA HABARI

Mfanyabiashara na mwimbaji mrembo wa
Uganda, Zari the Boss Lady na Diamond
Platnumz waliingia kwenye headlines
weekend iliyopita baada ya picha zao
wakiwa kwenye faragha kama wapenzi
kuzua maswali mengi kwenye mitandao
ya kijamii.
Hata Hivyo Zari hakuchukua muda mrefu
na kuamua kutumia Instagram kufumbua
fumbo hilo kwa kuweka wazi kuwa
ameshirikiana na Diamond katika wimbo
wake mpya.
Zari ameuambia mtandao wa Big Eye wa
Uganda kuwa picha zilizosambaa ni
sehemu ya video shoot ya wimbo
aliofanya na hit maker wa Number 1.
Wimbo huo unatarajiwa kutoka December
18 wakati wa party ya Zari ‘All white Ciroc
party’ itakayofanyika kwenye Club Guvnor
nchini Uganda.
Kitu ambacho watu wengi walikuwa
hawafahamu ni kuwa , Zari ni muimbaji
lakini alikuwa ameweka pembeni muziki
kwa muda, na sasa ameamua kurejea.
Tazama video ya moja ya nyimbo
alizowahi kutoa.

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...