Tuesday, 31 March 2015

matokeo ya nigeria yanasubiriwa kwa shangwe ilihali kuna upinzani mkubwa na sintofahamu.

Rais Goodluck Jonathan anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea mwenza Muhammadu Buhari, katika kinachotarajiwa kuwa ushindani mkali.
Na leo Rais wa Marekani, Barack Obama amewataka raia wote wa Nigeria wapinge ghasia na kutaja kura kama fursa ya kihistoria kwa maendeleo ya nchi yao.
Masuala yatakayomkabili kiongozi atakayechaguliwa ni usalama, tishio la Boko Haramu pamoja na ufisadi.

picha za Nicki Minaj,Rihanna, Beyonce, Alicia Keys,Usher,na madonna na Kanye West kwenye uzinduzi wa Tidal ya Jay Z.

ushertatutanotatumojasaba1819

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...