Thursday, 9 April 2015

AJALI KUBWA IMETOKEA MKOANI TANGA KATI YA NGORIKA NA RATCO LEO MCHANA . IONE HAPA


IMG-20150409-WA0018Tangu ilipotokea ajali ya barabarani eneo la Changarawe Iringa ambayo ilitokana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express kugongana na lori, stori zikaendelea kuwa nyingi kwenye vyombo vya habari, nyingi zikiandikwa kuhusu vyanzo vya ajali hizo.
Ajali nyingine tena imetokea Tanga leo APRIL 9 2015, taarifa za awali zinasema watu 10 wamefariki na wengine wamepata majeraha kutokana na ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkata, Wilaya ya Handeni Tanga, gari zilizopata ajali hiyo ni basi la NGORIKA, jingine laRATCO pamoja na gari nyingine ndogo.
K
IMG-20150409-WA0014IMG-20150409-WA0015
IMG-20150409-WA0016
IMG-20150409-WA0017
IMG-20150409-WA0018
IMG-20150409-WA0013

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...