Southampton walithibitisha kuikataa ofa ya kwanza ya Man United mapema wiki iliyopita, lakini yakiwa yamebaki masaa kadhaa kabla ya United kwenda kwenye Tour, hatimaye klabu hiyo imekubali ofa ya United.
Monday, 13 July 2015
baada ya usajili wa Schweinsteiger sasa ni zamu ya Schnederlin, tayari makubaliano yake.
Man United na Southampton wamekuwa na mazungumzo kwa muda wa wiki
kadhaa sasa na hatimaye vilabu hivyo usiku wa kuamkia leo vilikubaliana
bei ya uhamisho ya £25m kwa ajili ya Schnederlin.
Southampton walithibitisha kuikataa ofa ya kwanza ya Man United mapema wiki iliyopita, lakini yakiwa yamebaki masaa kadhaa kabla ya United kwenda kwenye Tour, hatimaye klabu hiyo imekubali ofa ya United.
Schneiderlin aliyejiunga na Southampton mwaka 2008 akitokea Strasbourg
kwa ada ya uhamisho wa £1.2m – jana usiku alifanyiwa vipimo vya afya na
United na leo hii kabla ya safari wanategemea kutambulishwa rasmi yeye
na mwenzie Bastian Schweinsteiger.
Southampton walithibitisha kuikataa ofa ya kwanza ya Man United mapema wiki iliyopita, lakini yakiwa yamebaki masaa kadhaa kabla ya United kwenda kwenye Tour, hatimaye klabu hiyo imekubali ofa ya United.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...
No comments:
Post a Comment