Saturday, 11 July 2015

Hawa ndio tatu bora kwenye Urais wa Tanzania waliopitishwa na CCM hivi punde.


WATATU CCM
Updates kutoka Dodoma July 11 2015 ziko kila wakati, na zinazonifikia tu  na mimi nazisogeza kwako ili usipitwe, tuliifahamu TOP 5 ya Wagombea Urais wa CCM, tatu bora je?
Mitandaoni hii ina uzito tayari, majina matatu yaliyopitishwa na CCM kwenye wagombea Urais majina ni haya >>> John Pombe Magufuli, Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ali.

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...