Friday, 21 August 2015

inasikitisha : tazama wezi waliochomwa moto leo maeneo ya goba jijini dar baada ya kuiba.

kwa muujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba wezi hao wamekua wakiiba maeneo ya changanyikeni na goba na hapo jana walimuua mtu mmoja maeneno hayo katika matukio yao ya wizi na ndipo leo walipoamka na kuingia kwenye duka moja ambalo ni super market na kuchukua fedha ambapo walimvizia  dada anaeuza dukani hapo alipokua ametoka nje na wao wakaingia, shuhuda anadai baada ya dada huyo kurudi gafla aliwakuta wezi hao wawili wakitoka ndani na ndipo alipoamua kupiga kelele ili apate msaada, baada ya kelele za dada huyo kusikika ndipo watu walipojaa na kuwakuta wezi hao wawili wakijaribu kutoroka kwa kupanda pikipiki yao aina ya boxer, ndipo  walipowazuia na kugundua kua walikua wamebeba fedha kutoka dukani hapo ambazo zilianza kudondoka baada ya kashi kashi za raia wema, baada ya wanachi hao wenye hasira kali kugundua kua wamechukua fedha hizo kutoka dukani hapo ndipo walipohamua kuwachoma moto pamoja na boda boda yao . .

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...