Saturday, 22 August 2015

sumaye hamia ukawa hivi punde

 








 hivi punge waziri huyo ametangaza mbele ya viongozi wa ukawa kua ameingia katika umoja huo ili kusaida kuipa nguvu na kudumisha utawala bora ambao unakosekana katika ccm,  ameongeza kua ccm hawana tena uwezo kwa kua wamekua ni watu wa rushwa na uongozi mbaya na ndio maana amehaua kujitenga nao.kwa mengineyo mengi endelea kutembelea innosam.blogspot.com. ili upate habari  kubwa na  za uhakika.

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...