Najua bado kuna headlines kuhusu ishu ya makontena 349 kupotea bandarini Dar es Salaam na mpaka leo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwashikilisa watu 12 kutokana na tuhuma hizo.
Kituo cha ITV wameripoti habari dakika chache zilizopita kuhusu kukamatwa kwa makontena tisa eneo la Mbezi Tanki Bovu Dar es Salaam… Jeshi la Polisiwameshirikiana na Mamlaka ya Mapato TRA kufanikisha kukamatwa makontena hayo, yanahusiana na yaliyopotea bandarini Dar?
No comments:
Post a Comment