Milipuko baada ya mashambulizi ya anga
ya vikosi vya Muungano
Mashambulizi ya anga yanayofanywa na
Majeshi ya Muungano nchini Libya, eo hii
yameingia siku ya 6, huku maafisa wa
Uingereza wakisema wamefanikiwa
kuuvuruga kabisa mfumo wa jeshi la anga
la nchi hiyo.
Mashambulizi ya hivi karibuni yamefanyika
alfajiri ya leo, ambapo milio ya
makombora imekuwa ikifyatuliwa kwa
mfululizo.
Operesheni hiyo inatekelezwa, wakati
ambapo wajumbe kutoka nchi 28 za
jumuiya ya Kujihami ya NATO,
wakiendelea na mkutano wao nchini
Ubelgiji, wenye lengo la kujadili namna
jumuiya hiyo itakavyoshiriki katika
operesheni hiyo.
Kaimu kamanda wa Kikosi cha Anga cha
Uingereza, Greg Bagwell amesema, NATO
hivi sasa wamekwisha sikia taarifa za
mafanikio ya operesheni inayoendelea.
Afisa huyo ambae ni miongoni mwa
waratibu wa operesheni hiyo kwa upande
wa Uingereza, amesema kikosi cha anga
cha kiongozi wa Libya, kanali Muammar
Gaddafi, hakipo katika mfumo wa kivita
Thursday, 17 July 2014
MASHAMBULIZI YA LIBYA YAFIKISHA SIKU YA 6 KWA MAANGAMIZI YA WATU WASIO NA HATIA, GADAF YUKO WAPI AWAOKOE WATU WAKE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...
No comments:
Post a Comment