Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba
abiria 295 ndani yake imeanguka
Mashariki mwa Ukraine ikitokea
Amsterdam kwenda Kuala Lumpur,
kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa.
Miili kadhaa ya watu imesambaa katika
eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na
kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa
kushikiliwa na waasi.
Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia
kuingia katika ardhi ya Urusi wakati
ilipopoteza mawasiliano.
Pande zote mbili serikali ya Ukraine na
waasi wamekanusha kuitungua ndege hiyo
katika mji ulio karibu na mpaka wa Urusi.
Thursday, 17 July 2014
MALAYSIA KUNA TATIZO GANI? NDEGE NYINGINE YADONDOKA NA KUTEKETEA KWA MOTO VIBAYA .JIONEE HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...
No comments:
Post a Comment