Mwezi April ilisambaa stori juu ya
mwanamuziki wa Hip Hop Andre Johnson
kujikata sehemu zake za siri ambapo stori
hiyo iliripotiwa na vyombo kadhaa duniani
lakini mbali na kujikata sehemu hizo
alijirusha kutoka juu ya jumba moja mjini
Los Angeles.
Ukubwa wa stori hii umefanya wadau
mbalimbali wa vyombo vya habari kutaka
kufahamu sababu za yeye kuamua kufanya
vitendo hivyo ambavyo pengine
vinaashiria hata kuyagharimu maisha
yake.
Johnson ametoa sababu zake na kubwa
zaidi akisema kuwa yeye ana akili timamu
hana matatizo ya akili ingawa aliwahi
kutumia dawa za kulevya lakini alikuwa
anajifahamu mahojiano hayo ameyafanya
kupitia kituo cha televisheni cha E!
kilichopo Marekani.
Sababu nyingine aliyoisema kwenye
mahojiano hayo amesema kuwa yeye sio
Mwandamu>>’Nilikata sehemu yangu ya
siri kwa sababu hiyo ndiyo ilikuwa chanzo
cha matatizo yangu’
‘Suluhu yangu kwa matatizo yangu ni
kwamba nimeelewa kuwa kitendo cha
ngono ni cha mwanadamu, mimi sio
mwanadamu mini ni mungu vitendo vya
ngono viliniingiza katika matatizo
mengi.siko hapa duniani kama
mwanadamu bali mungu ”
Madaktari walishindwa kuunganisha
sehemu hizo za siri za Johnson na kwa
sasa anaishi bila sehemu hizo za siri na
kusema kuwa anafurahi yuko hai,hilo ndilo
jambo muhimu zaidi kwake, hata bila ya
uume wake.
Thursday, 17 July 2014
ULIBAHATIKA KUMWONA YULE RAPA WA HIP HOP WA MAREKANI ALIYEJIKATA JEMBE LAKE LA KAZI? SASA ATOA TAMKO NA SABABU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...

-
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyon...
-
Luca Modric mchezaji bora wa mwaka wa FIFA Wameamua kumpa,ni baada ya kumdhurumu tuzo yake ya msimu wa 2009/10,mwaka huu wameona ai...
-
Mlinda mlango wa Derby Country akipangua mkwaju wa Phil Jones Timu ya DERBY COUNTY inayonolewa na nyota wa zamani wa CHELSEA, FRANK LAM...
No comments:
Post a Comment