Sunday, 19 July 2015

Mastaa waafrika waliohudhuria tuzo MTV BASE 2015 hawa hapa

.
.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio walikua wasanii wa Tanzania pekee waliokuwa wakiwania tuzo za MTV Base zilizotolewa July 18 usiku hapa Durban South Africa ambako Diamond alishinda tuzo moja kati ya tatu alizokua anawania huku Vanessa Mdee akufanikiwa kuchukua tuzo.
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo kutolewa? endelea kutazama hizi picha hapa chini.
.
.
.
Black Motion.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mtanzania akiwa na Chameleone.
.
.
.
Mtoko wa kibabe.
.
.
.
Host wa MAMA Anthony Andreson akiwa na Bucie
.
Host wa MTV MAMA, Anthony Andreson.
.
.
.
Mshindi wa tuzo ya Best Live Act, Diamond Platnumz akiwa na Babu Tale (wa pili kutoka kushoto) na Salam.
.
Mshindi wa tuzo ya BEST LIVE ACT, Diamond Platnumz.
.
.
.
.
.
.
.
Diamond Platnumz akifanya interview na DSTV.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mtu wako wa nguvu nikifanya interview na Yemi Alade.
.
Ma meneja wa Diamond Platnumz.
.
Msanii wa Uganda, Bebe cool.
.
Bebe Cool akifanya interview na Ayo TV.
.
.
.
Miss South Afr.
.
Miss South Africa 2015 , Liesl akifanyiwa interview na Ayo TV.
.
Rapper Khuli Ghana nilimnasa pia kwenye interview.
.
mtu wako wa nguvu nilimnasa pia  rapper K.O kwenye interview.
.
Rapper wa South Africa, K.O.
.
Bdozen wa Clouds FM akifanya interview na msanii.
.
K.O.
.
Mtangazaji wa MTV Base, Moozlie(wa kike) alinaswa na Bdozen katika mahojiano.
.
.
.
.
.
Ayo TV ilimnasa rapper AKA katika mahojiano.
.
Rapper Cassper Nyovest akiwa na mchumba wake.
.
.
.
.
.
Phyno.
.
.
.
.
.
Vanessa Mdee.
.
Patoranking aliibuka kuwa  mshindi wa tuzo ya Best New Act .
.
Ayo TV iliwanasa pia Sauti Sol katika mahojiano.
.
Davido.
.
.
.
.
.
Peter wa psquare interview na Ayo TV.
.
Mru wako wa nguvu nikiwa na Dj Eddo wa BBC Swahili.
DSC_5521
Selfie la kibabe.
.
Davido aliibuka kuwa mshindi wa tuzo ya Best Male.
.
.
.
mtu wako wa nguvu.
.
B Dozen wa CloudsFM.
.
D Banj.
.
.
.
.
.
Yemi Alde aliibuka kuwa mshindi wa tuzo ya Best Female.
.
Yemi Alade akiwashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya BEST FEMALE #MTVBASE2015.
.
Dj Buckz na Dj Maphorisa wakipeform wimbo wa Davido ‘ The Sound’.
.
.
.
Dj Buckz na Davido.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Davido.
.
.
.
Patoranking akitoa burudanii .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Best Collaboration of the year, AKA ft Burna Boy, Da LES & JR ‘All Eyes On Me’ .
.
Cassper Nyovest akitoa burudani ya nguvu.
.
.
.
.
.
Song of the Year, Mavin.
.
Abby kutoka Choice FM (wa kushoto) alikuwa ni miongoni mwa watanzania walioshuhudia utoaji wa tuzo za MTV Base 2015 zilizotolewa Durban.
.
.
.
Best Group and Artist of Decade imekwenda kwa P Square.
.
.
.
P Square ni miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ya nguvu.
.
Hapa ni nje ya ukumbi yaani barabara.
.
Shughuli za utoaji wa tuzo hizo zilifanyika kwenye hili jengo.

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...