Thursday, 6 August 2015

BREAKING NEWS: MHE PROF LIPUMBA AJIUZULU














 MWENYEKITI WA CUF Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo na kusema atabakia kuwa mwanachama wa kawaida. Akiongea leo Jijini Dar es Salaam Prof. Lipumba amesema amechukua uamuzi huo kutokana na UKAWA kushindwa kusimamia makubaliano yao.

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...