Tuesday, 18 August 2015

Diamond Platnumz aamua kutoa majibu kuhusu ishu ya mtoto kupimwa DNA ili ajulikane ni wa nani haswa


tifaaa
Kumekuwa na stori ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka kwenye Magazeti inayomhusu Diamond, Zari na mtoto wao.
Diamond amepatikana na kutolea majibu ishu hiyo, barua ya kudai mtoto wake akapimwe DNA bado haijamfikia na kama ni ishu ya Kisheria inayohusu Mahakama amesema ingepitia kwa Wakili au Mwanasheria na sio kupitia Mitandaoni.
Kingine amesema kwamba Zari hajawahi kuolewa na wao wameamua kuishi maisha yao na hawezi kufuatilia maisha ya mtu wala wao kufuatilia maisha ya watu.

, 

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...