simanzi:tazama picha,Miaka miwili baada ya wale wasichana 267 waliotekwa nigeria na vipaji vyao.
Image copyrightAFPImage caption
Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?
Miaka miwili iyopita wiki kama hii , wasichana 267 walitekwa nyara kutoka shuleni kwao na wanamgambo wa Boko Haram .
Suala
lililolaaniwa vikali kimataifa na kuchochea kampeni ya mitandao ya
kijamii iliyojulikana kama #bringbackourgirls na kuweka wazi udhalimu
unaotekelezwa na makundi ya uasi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Image caption
Shule ya Chibok ilivyobakia sasa
Zaidi ya vijana 200 wa kike hawajapatikana hadi leo .Katika
ripoti hii maalum mwandishi wa BBC Martin Patience alisafiri hadi
Chibok kuongea na familia za wasichana na kutembelea shule ambako
walitekwa nyara. Image caption
Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa
wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi
Barabara ya kuelekea Chibok imejaa vikwazo na
hatari hata hivyo tulisafiri katika msafara wa magari ya kijeshi
tukipitia vijiji vilivyotelekezwa .. kimoja baada ya kingine TaswiraKile kinachoonekana kama msikiti unaonekana kupigwa risasi kila mahali , Paa lake limeng'olewa ,
Hiki
kilikuwa ni kijiji ambacho huenda kilikua ni makaazi ya makumi kadhaa
familia , lakini kwa sasa hakuna mtu anayeishi hapa na vichaka vimemea
tena kijijini hapa
Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi Image caption
Msikiti wa Chibok
Saa tatu baadae tuliwasili Chibok mahala kulikokuwa zamani soko maarufu la mji ambao kwa sasa halisikiki.CHIBOKLakini
wakati huo Boko Haram walipokuja kuwateka mamia ya wasichana wa eneo
hili walibaki na kumbukumbu za kutisha za usiku huo …..
Wazazi hapa wamebakia kusubiri majibu ya wapi waliko watoto wao.
Miongoni mwao ni Mariam Abubakar.
Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo Image caption
Msafara wa jeshi la Nigeria
''Msichana wangu likua mchapakazi . Alipenda utani na alipenda mavazi.''''Muda mfupi tu kabla ya kuchukuliwa alikua ameniomba nimnunulie mashine ya kushona nguo''alisema Myrama Abubakar.
Mbele ya nyumba yake ya matope Maryama alivuta nguo alizoacha binti yake .
Alichukua vazi alilolipenda na kuliweka kwenye magoti yake . Image caption
Chibok
''Hii ni gauni aliyotakiwa kuvaa kwenye harusi ya rafiki yake siku moja baada ya kumaliza mitihani .Lakini mitihani haikufanyika . Nitaitunza gauni hii mpaka atakaporudi alisema mzazi huyo.
Na baade nilizungumza na Binta AbuBakar mama yake Maryam ambaye sasa angekua na miaka 19 - Image caption
Kundi la waandishi wa habari
''Kabla ya kwenda shuleni siku ile alikua anafanya
kazi katika duka angu la chakula . Aliweza kufanya mauzo ya dola
hamsini! alikua mzuri sana kuwavutia wateja , alikua mfanyabiashara
hodari . Hizii ndizo nyakati za mwisho nilizokua naye.Naomba
binti yangu arejee akiwa hai . Lakini kama haitakua hivyo natumai roho
yake italala kwa amani . Natumai kumbu kumbu za kutisha alizoziona
wakati alipotekwa yatakua ndio mateso yake ya mwisho ,alisema bi
AbuBakar. Image copyrightImage caption
Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo
Miaka miwili baadaye hakuna taarifa kuhusu waliko
wasichana wa Chibok - Labda wako Chad ama Cameroon - kuna uwezekano
mkubwa wengi wao walilazimishwa kuolewa na wapiganaji.Maisha yanaendelea kurejea taratibu katika hali ya kawaida mjini Chibok na usalama unaimarika.
Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?
No comments:
Post a Comment