Monday, 8 June 2015

fahamu alichokifanya Davido jana jumapili huko nigeria.historia ya kishujaa ndio hii duniani kote.

Posted by: Jesca TZA

beeeee
Jana jumapili staa wa Nigeria Davido alihitimu shahada yake ya mambo ya muziki katika chuo kikuu cha Babcock nchini Nigeria.
daviiii
Superstar huyu kutoka nchini Nigeria amehitimu degree yake ya elimu kutoka chuoBabcock University nchini Nigeria kwenye kitengo cha Muziki.
jazzzzBaada ya taarifa za kuhitimu kwake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii alichukua muda wake na kuamua kupost ujumbe katika mitandao ya kijamii.
davido
Davido aliamua kushare baadhi ya picha zake wakati akihitimu masomo yake ambapo wanafamilia akiwemo baba yale mzazi Deji Adeleke na familia yake waliweza kuhudhuria wakiwemo wasanii wenzake kama Don Jazzy.

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...