Mashabiki wengi wanawafahamu mastaa wao wa soka kwa sasa lakini hawajui zamani walikuaje? Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na wengine walikuaje wakiwa watoto.
Hapa nimekukusanyia picha za mastaa 15 wa soka Ulaya kabla ya kuwa mastaa kama walivyo sasa.

Lionel Messi wa sasa na wakati akiwa mtoto

Cristiano Ronaldo wa sasa na wakati akiwa mtoto

Neymar wa sasa na wakati akiwa mtoto

David Beckam wa sasa na wakati akiwa mtoto

Ronaldinho wa sasa na waati akiwa mtoto

Maradona wa sasa na wakati akiwa mtoto

Wilshere

Walcot

Welbeck
No comments:
Post a Comment