Jumla ya wanafunzi
62 wa chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya wamefukuzwa kutoka chuo hicho,
baada ya kushuhudiwa ghasia zilizosababisa kufungwa kwa chuo kwa muda
usio julikana wiki moja iliyopita.
Wanafunzi waliteketeza kwa moto
afisi za chuo hicho kutokana na kile kinachotajwa kuwa matokeo ya
uchaguzi wa kumchagua kiongozi wa wanafunzi chuoni.Chuo kikuu cha Nairobi kiliseme kuwa kilichukua hatua hizo za kinidhamu dhidi ya wanafunzi walioshiriki katika kuharibu mali ya umma.
No comments:
Post a Comment