Zimebaki saa chache tu kushuhudia
historia nyingine kwenye Industry ya Muziki Tanzania ikiandikwa.. Jana
JUNE 12 2015 ulitangazwa utaratibu mpya ambapo tofauti na miaka ya
nyuma, safari hii zimetolewa Kadi Maalum za Mwaliko kwa wageni wote
watakaoingia pale Ukumbi wa Mlimani City.
Haimaanishi kwamba ulie nyumbani ndio
umepitwa, Clouds TV itakuwa ikirusha Live.. lakini pia urahisi mwingine
ni huu, kuna hii link hapa ambayo ukiibonyeza itakupa nafasi na wewe
kushuhudia LIVE popote ulipo hata kwa kifaa kama simu ya mkononi
>>>http://livestream.com/accounts/4180642/events/4119876/player?width=960&height=540&autoPlay=true&mute=false
No comments:
Post a Comment