Shirika
la afya duniani WHO linasema kuwa mlipuko wa homa ya Middle East
Respiratory Syndrome au MERS nchini Korea Kusini na mkubwa na huenda
kesi zaidi zikaripotiwa.
Baada ya uchunguzi wa wiki moja shirika
la WHO linasema kuwa madaktari nchini korea kusini ambao hawakuhufahamu
ugonjwa huo huenda walichangia ugonjwa usambae kwa haraka .Utawala nchini korea kusini unasema kuwa watu 12 wameambukizwa ugonjwa wa MERS huku 14 wakijulikana kuaga dunia.
No comments:
Post a Comment