“Nashindwa kuvumilia, niko hapa kitengo cha madawa. Mpaka sasa hivi sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wananifanyia kama makusudi.. Nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?
Wana maamuzi yao lakini unakuta mtu umechelewa kama mimi natoka Bunju kila siku lazima niweke mafuta ya elfu 30 unawaambia nina tatizo bado ukifika unaambiwa imekuwa kama shule“
Ile dawa inauma.. Mwili unauma nasikia baridi mifupa inauma.. alafu wanajua lakini wanatunyima“
No comments:
Post a Comment