Wednesday, 3 June 2015

tambi za kupika kutoka india zakutwa na madini ambayo si salama.soma hapa ujue kama na wewe hua unatumia hii aina ya tambi ili uache

Tambi zapatikana na madini hatari India

Maggy noodles
Maafisa wa mjini Delhi huko India wamepiga marufuku chakula aina ya tambi ziitwazo ''Maggi noodles'' baada ya kufanyiwa uchunguzi na kugunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha madini hatari aina ya lead.
Tambi hizo za ''Maggi noodles'', ambazo zinatengenezwa na kampuni maarufu ya Nestle ya huko India zilikuwa zikipendwa sana na kununuliwa kwa wingi na walaji wengi .

Kampuni yenyewe imejitetea kuwa vyakula vyao ni salama.
Lakini kufuatia tukio hilo la kupigwa marufuku kwa ''Maggi noodles'' hisa zao zimeporomoka katika soko lao la huko India .

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...