Saturday, 30 May 2015

dubai ni sehemu ya kifahari zaidi duniani , angalia hii style waliokuja nayo sasa.

unachokiona hapo ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unajengwa ndani ya bahari . tusubiri tuonee utakuaje baada ya kumalizika ila muonekano ndio huo hapo.

dubaiii
Dubai ni moja kati ya miji inayokua kwa kasi sana duniani. Na ni miongoni mwa miji ambayo inafahamika kwa majengo ya kipekee na kifahari huku watu wengi kutoka sehemu mbali mbali duniani wakivutiwa kwenda Dubai kutalii ama kufanya biashara.
 

No comments:

Post a Comment

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...