Saturday, 30 April 2016

Msikiti waua watu 15 Mogadishu.

Image caption Mogadishu Somalia
Msikiti uliokuwa ukikarabatiwa umeporomoka nchini Somalia na kuwaua watu 15 na kuwajeruhi wengine 40.
Kisa hicho kilitokea katika msikiti mmoja wa mjini Mogadishu wakati wa ibada ya Ijumaa.
Hatahivyo maelezo yalitolewa siku ya Jumamosi.Mamia ya watu walidaiwa kuwa ndani ya msikiti huo wakati ulipoporomoka na wengine wanaaminika kuwa chini ya vifusi vya jengo hilo la ibada.
Muhandisi mmoja aliyekuwa akiufanyia ukarabati misikiti huo alikamatwa kwa tuhuma za uzembe,vyombo vya habari vya eneo hilo vimeripoti.Mvua kubwa imenyesha katika eneo hilo katika siku chache zilizopita.
Serikali ya Somalia inadhibiti Mogadishu na miji mingine,lakini wapiganaji wa al-Qaeda wanaoshirikiana na kundi la wapiganaji wa al-Shabab wanatawala maeneo mengi ya mashambani.
Zaidi ya wanajeshi 22,000 wa Umoja wa Afrika na polisi wamepelekwa nchini humo kuilinda serikali

Wednesday, 27 April 2016

Shambulio kali : Watu wenye silaha kali washambulia magharibi mwa Madagascar

Watu wenye silaha washambulia magharibi mwa Madagascar, waua na kujeruhi

Watu wenye silaha wamefanya shambulizi magharibi mwa Madagascar na kuua watu wawili na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo.

Polisi ya nchi hiyo imeripoti kuwa, watu wenye silaha wamemshambulia mkuu wa ofisi ya ardhi katika eneo la Melaky na kumuua pamoja na rafiki yake. Katika hujuma hiyo watu wengine kadhaa pia wamejeruhiwa. Polisi wamesema kuwa, washambuliaji hao walianza kufyatua risasi kuilenga gari iliyokuwa imembeba afisa huyo wa ardhi pamoja na watu wengine aliokuwa ameambatana nao. Habari zaidi zinasema kuwa, licha ya polisi kufika eneo la tukio mapema, lakini walishindwa kukabiliana na watu hao wenye silaha, huku wakitoweka bila ya kutiwa mbaroni. Polisi imetangaza kuwa inaendelea kuwasaka wahusika wa hujuma hiyo, ambayo hadi sasa bado sababu za utekelezwaji wake hazijulikani, ingawa masuala ya kisiasa yanatajwa kuwa moja ya sababu hizo.

Watu wenye silaha washambulia magharibi mwa Madagascar, waua na kujeruhiWatu wenye silaha wamefanya shambulizi magharibi mwa Madagascar na kuua watu wawili na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo.

Tuesday, 26 April 2016

kundi la watu 20 wa ash-Shabab wauawa na jeshi la Somalia

Wanapiganaji 20 wa ash-Shabab wauawa na jeshi la Somalia
Wapiganaji wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab nchini Somalia wameuawa na askari wa serikali, kaskazini mwa nchi hiyo.
Ismail Khalifah Shira, kamanda wa jeshi la Somalia amethibitisha habari hiyo mapema leo na kuongeza kuwa, wanachama wa kundi hilo la kigaidi la ash-Shabab, wameuawa asubuhi ya leo katika eneo la Dainunay, lililopo karibu na mji wa Baidoa. Shira ameongeza kuwa, magaidi hao wameuawa baada ya kuvamia kambi ya jeshi la serikali katika eneo hilo kwa lengo la kutekeleza shambulizi la kushtukiza, na kwamba jaribio lao lilifeli baada ya askari kufahamu mapema njama hiyo na kuwaua magaidi hao katika eneo la tukio. Hata hivyo kamanda Ismail Khalifah Shira hakutaja hasara yoyote iliyopata jeshi katika hujuma hiyo. Hii ni katika hali ambayo kundi la ash-Shabab limedai kupata ushindi katika hujuma hiyo. Ripoti iliyotolewa na kundi hilo maarufu kwa kutenda jinai dhidi ya binaadamu, imedai kuwa wapiganaji wa ash-Shabab wamefanikiwa pia kudhibiti kambi ya kijeshi la eneo hilo la Dainunay. Aidha limeongeza kuwa, katika hujuma hiyo askari 10 wa serikali wameuawa.

Soma hii: Mapema hivi leo Al-Shabab wavamia na kudhibiti kambi ya jeshi Somalia

Shabab
Image copyrightAFP
Image captionWapiganaji wa al-Shabab wamekuwa wakishambulia kambi za jeshi miezi ya karibuni
Wapiganaji wa kundi la al-Shabab walishambulia kambi ya jeshi nchini Somalia na kuidhibiti kwa muda mapema asubuhi kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Wapiganaji hao walishambulia kambi ya Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) katika eneo la Daynuunay, wilaya ya Baidoa katika jimbo la Bay.
Taarifa zinasema magari zaidi ya kumi ya jeshi la Somalia yaliuawa wakati wa shambulio hilo.
Msafara wa wanajeshi wa Somalia kutoka mji wa Baidoa, waliokuwa wakipelekwa kuwasaidia wenzao, pia ulishambuliwa.
Taarifa zinasema kulitokea vifo na majeruhi pande zote.
Afisa mmoja wa serikali eneo hilo ameambia BBC kwamba watu zaidi ya 10 walifariki.
Mwandishi mmoja wa eneo hilo ameambia BBC kwamba wanajeshi 20 waliuawa wakati wa shambulio hilo.
Kikosi cha Umoja wa Afrika (Amisom) kimesema kupitia Twitter kwamba shambulio hilo lilitokea lakini kikakanusha taarifa kwamba kambi hiyo ilidhibitiwa na wapiganaji hao.
Kambi hiyo inapatikana kilomita 30 kutoka mji wa Baidoa.
Al-Shabab wamezidisha mashambulio dhidi ya wanajeshi wa Amisom na Somalia tangu katikati mwa mwaka jana.
Mapema mwaka huu, walishambulia kambi ya wanajeshi wa Kenya wanaohudumu chini ya Amisom.
Al-Shabab wamesema kwamba waliua zaidi ya wanajeshi 200 katika shambulio hilo eneo la El-Ade katika jimbo la Gedo tarehe 15 Januari mwaka huu.

Majonzi: Lucy Kibaki afariki

Image captionLucy kibaki na mkewe wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2007
Mke wa kwanza wa rais Lucy Kibaki amefariki katika hospitali mmoja mjini London kwa ugonjwa usiojulikana.
Lucy alipata umaarufu kwa kumchapa kofi mpiga picha mmoja mwaka 2005 wakati alipovamia afisi za kituo kimoja cha habari mwaka 2005 akikasirishwa na vile habari moja ilivyoandikwa.
Katika kumbukumbu ya kumuhenzi bi Kibaki rais wa Kewnya Uhuru Kenyatta alimsifu kwa jukumu lake kukabiliana na ugonjwa wa ukimwi nchini Kenya.
Image captionLucy Kibaki pamoja na aliyekuwa mke wa aliyekuwa rais wa Marekani George Bush ,Laura Bush.Picha kwa niaba ya Getty Images
Bwana Kenyatta alimrithi mumewe bwana Kibaki ambaye alitawala kutoka mwaka 2002 hadi 2013.
Bi Kibaki aliyezaliwa mwaka 1940,alijiondoa katika maisha ya hadharani wakati wa mwisho wa utawala wa mumewe.
Image captionLucy Kibaki na mumewe Mwai KIbaki wakiwapungia mkono wafuasi wao mda mchache baada ya kibaki kuwasilisha stakhabadhi zake za uchaguzi katika tume ya uchaguzi mwaka 2007.Picha ni kwa niaba ya Getty images
Mara ya mwisho kuonekana hadharani ni mwezi Agosti mwaka 2010,wakati alipofurahishwa na kupatikana kwa katiba mpya.
Image captionLucy Kibaki na mumewe aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki pamoja na mkewe marehemu Kijana Wamalwa wakati wa misa ya kifo cha Wamalwa.Picha kwa niaba ya Getty Images
Bwana Kenyatta alisema kuwa alikuwa mgonjwa kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita ambapo amekuwa akipata matibabu nchini Kenya na Uingereza.Bi Kibaki ni mwalimu ambaye aliwacha kazi yake kabla ya ndoa yake na kibaki mwaka 1962 ili kuwalea wanawe.

Monday, 25 April 2016

Habari: Gaidi mwandamizi wa al-Qaeda auawa nchini Syria

Gaidi mwandamizi wa al-Qaeda auawa nchini Syria
Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Ahrar al-Sham lenye mafungamano na mtandao wa kimataifa wa al-Qaeda ameuawa katika hujuma ya bomu iliyolenga ngome za kundi hilo katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
Majid Hussein al-Sadeq pamoja na magaidi wengine watatu waliuawa katika shambulio la jana Jumamosi dhidi ya mji wa Binnish, unaohesabiwa kuwa moja ya ngome za magaidi hao, yapata kilomita 10 kaskazini mashariki mwa mkoa wa Idlib.
Julai mwaka jana, kamanda mwingine mkuu wa kundi la kigaidi la Ahrar al-Sham kwa jina Abu Abdu Rahman Salqin aliuawa katika shambulio jingine la bomu katika eneo la Abu Talha, mkoani Idlib.
Kwa muda mrefu sasa serikali ya Syria imekuwa ikisisitiza kuwa magaidi nchini humo wanapata misaada ya fedha na silaha kutoka nchi za Magharibi hasa Marekani na waitifaki wake katika eneo hili ambao ni Saudi Arabia, Qatar, Uturuki na utawala haramu wa Israel. Karibu watu nusu milioni wameshapoteza maisha tokea magaidi waanzishe kampeni ya kumuondoa madarakani Rais Bashar al Assad wa Syria mwaka 2011.
Hii ni katika hali ambayo, Steffan de Mistura, Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema watu wapatao laki nne wamepoteza maisha kutokana na vita vya zaidi ya miaka mitano vilivyoikumba nchi hiyo ya Kiarabu.

Saturday, 23 April 2016

mcheza filamu za ngono (x) na miereka afariki,tazama picha zake na habari hapa.

Image caption Mcheza miereka na nyota wa filamu za ngono Chyna afariki
Aliyekuwa mchezaji miereka na nyota wa filamu za ngono Chyna amefariki akiwa na umri wa miaka 45.
Meneja wake amethibitisha habari hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter.
''Ni masikitiko makubwa kutangaza kwamba tumempoteza shujaa'',ulisema ujumbe huo,akiongezea kuwa:Ataishi kukumbukwa na mashabiki wake wengi na sisi sote tuliompenda.
Chyna alipatikana amefariki nyumbani kwake katika ufukwe wa bahari wa Redondo,mjini California,baada ya kurudi nyumbani kutoka Japan.

Image caption Chyna alipochumbiwa na mchezaji mwenza wa miereka
Mapema wiki hii alichapisha kanda ya video yenye urefu wa dakika 13 ambapo anazungumza kuhusu kuanzisha biashara mpya ya chakula.Alionekana akikosea baadhi ya maneno aliyokuwa akiyatamka na anaonekana amechanganyikiwa.
Alijitahidi kukabiliana na dawa za kulevya wakati wote wa kazi yake na alionekana katika kituo cha kuwarekebisha tabia watu maaruf

Soma hii: Yanga kuivaa Esperanca Kombe la Shirikisho, TP Mazembe nao watupwa nje.

Image caption Klabu ya Yanga ya Tanzania ilitolewa Ligi ya Mabingwa na Al Ahly
Klabu ya soka ya Yanga ya Tanzania imepangwa kucheza na klabu ya GD Esperanca ya Angola katika hatua ya mtoano ya timu 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho.
Yanga iliangukia katika michuano hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa Afrika baada ya kufungwa na Al Ahly ya Misri kwa mabao 2-1 jana hivyo kuondolewa kutoka Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 3-2 katika mechi mbili walizokutana.
Katika hatua hiyo Yanga wanatarajiwa kuanzia nyumbani kabla ya kwenda ugenini ambapo mechi za mkondo wa kwanza zikitarajiwa kuchezwa Mei 6 na 8 huku zile za marudiano zikitarajiwa kuchezwa Mei 17 na 18.
Baadhi ya mechi zingine zilizopangwa katika ratiba hiyo wababe wa Azam FC, Esperance ya Tunisia wao watavaana na MO Bejaia ya Algeria huku TP Mazembe waliovuliwa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika wao wakipangwa kucheza na Stade Gabesien ya Tunisia.

Friday, 22 April 2016

Kenyatta atoa dola 10m za kusaidia kilimo cha mirungi,wakati tanzania tukiipiga vita zao hilo.

Image copyright BBC World Service
Image caption Mirungi imepigwa marufuku katika baadhi ya nchi Ulaya
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kwamba serikali yake itatenga dola za Kimarekani 10 milioni za kusaidia wakulima wa mirungi kwenye bajeti ya mwaka ujao wa kifedha.
Wakulima hao wameathirika sana kufuatia hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya kupiga marufuku uuzaji wa mirungi, maarufu pia kama miraa, katika mataifa hayo.
Hutumiwa sana na watu wa jamii ya Wasomali na hutegemewa sana na jamii zianzoishi katika maeneo ya mashariki ya Mlima Kenya, miongoni mwa watu wa jamii ya Wameru.
Pesa hizo zitatolewa kupitia Wizara ya Kilimo.
Rais Kenyatta ametangaza hayo alipokuwa akitia saini mswada unaotambua mirungi kuwa mmea wa kuzalishia taifa mapato kuwa sheria.
Sheria hiyo itaifanya serikali kuweka mikakati ya kutangaza, kuzalisha na kusambaza na kuuza zao hilo.
Rais Kenyatta amesema kutaundwa pia jopo kazi la kuangazia changamoto zinazokabili sekta ya ukuzaji wa mirungi ambayo itatoa mapendekezo kwa serikali.

huyu ndiye mwanamuziki tajiri wa kike uingereza,mjue hapa.

Image caption Adele

Adele ametangazwa kuwa mwanamuziki tajiri wa kike nchini Uingereza,kulingana na gazeti la Sunday Times.
Orodha ya wanamuziki 50 mamilionea nchini Uingereza na Ireland inaonyesha utajiri wa mwanamuziki huyo kuwa pauni milioni 85 katika nafasi ya 30 ikiwa amejiongezea pauni milioni 35 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Mwanamuziki pekee wa kike mwenye utajiri katika orodha hiyo inayoorodhesha taifa la Ireland ni mwanamke wa Ireland Enya mwenye utajiri wa pauni miloni 91.
Kwa mwaka wa tano mfululizo Adele ameorodheshwa katika kilele cha wanamuziki vijana wasio zidi umri wa miaka 30.

Image copyright Getty Images
Image caption Adele akitumbuiza
Utajiri wa mwanamuziki huyo uliongezeka kufuatia kutolewa kwa albamu ya 25,ikiwa ni yake ya kwanza baada ya miaka minne.
Mwanamuziki huyo aliorodheshwa wa 9 mwaka 2011,lakini ilipofikia mwaka 2012 alikuwa kileleni hadi kufikia sasa.

uingereza yawatahadharisha wapenzi wa jinsia moja.

Image copyright GETTY IMAGES
Image caption Harusi ya wapenzi wa jinsia moja Uingereza
Serikali ya Uingereza imewaonya wapenzi wa jinsia moja wanaosafiri kuelekea Marekani kutokana na sheria dhidi yao katika majimbo ya North Carolina and Mississippi.
Marekani ni jamii kubwa ilio na maoni tofauti.Sheria mpya zilizopitishwa katika majimbo hayo zinaruhusu wafanyibiashara kuamua iwapo wanaweza kuwahudumia watu wa jinsia hiyo au la.
Ushauri huo umetoka katika afisi ya maswala ya kigeni ya Uingereza.
Katika jimbo la Carolina,sheria iliopitishwa na Gavana Pat McCrory inasema kuwa watu waliobadili jinsia watumie msaala wa kuogea kulingana na jinsia yao iliopo katika vyeti vyao vya kuzaliwa.
Sheria ya Mississippi pia ina sheria kama hiyo na inawalinda wafanyibiashara wengi kytoshtakiwa kwa kukataa kuwauzia wapenzi wa jinsia moja.

mcheza filamu za ngono (x) na miereka afariki,tazama picha zake na habari hapa.

Image caption Mcheza miereka na nyota wa filamu za ngono Chyna afariki

Aliyekuwa mchezaji miereka na nyota wa filamu za ngono Chyna amefariki akiwa na umri wa miaka 45.
Meneja wake amethibitisha habari hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter.
''Ni masikitiko makubwa kutangaza kwamba tumempoteza shujaa'',ulisema ujumbe huo,akiongezea kuwa:Ataishi kukumbukwa na mashabiki wake wengi na sisi sote tuliompenda.
Chyna alipatikana amefariki nyumbani kwake katika ufukwe wa bahari wa Redondo,mjini California,baada ya kurudi nyumbani kutoka Japan.

Image caption Chyna alipochumbiwa na mchezaji mwenza wa miereka
Mapema wiki hii alichapisha kanda ya video yenye urefu wa dakika 13 ambapo anazungumza kuhusu kuanzisha biashara mpya ya chakula.
Alionekana akikosea baadhi ya maneno aliyokuwa akiyatamka na anaonekana amechanganyikiwa.
Alijitahidi kukabiliana na dawa za kulevya wakati wote wa kazi yake na alionekana katika kituo cha kuwarekebisha tabia watu maarufu mwaka 2008.

maajabu:Marehemu ateuliwa kusimamia mechi Nigeria,soma hii

Image caption Shirikisho la Soka la Nigeria linakabiliwa na mzozo wa uongozi
Mwanamume aliyefariki ameteuliwa kusimamia mechi ya soka nchini Nigeria ambayo itachezwa Jumapili, mwandishi wa BBC anayefuatilia masuala ya soka Oluwashina Okeleji anasema.
Wale Akinsanya aliteuliwa kuwa mwamuzi kwenye mechi baina ya Warri Wolves na Giwa FC katika mji wa Warri kusini mwa Nigeria, gazeti la Punch la Nigeria limeripoti.
Hii ni licha ya kwamba Akinsanya alifariki tarehe 22 Januari 2016 wakati wa kufanywa kwa mtihani wa Fifa Cooper Test, ambao hutumiwa kuamua iwapo marefarii wanatosha kuendelea kusimamia mechi.
Aliteuliwa kusimamia mechi hiyo na mrengo wa Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) unaoongozwa na
Chris Giwa.

maajabu:Msomi avua nguo kwa kufungiwa ofisi,mtazame hapa

Image caption Stella Nyanzi alikuwa akimuunga mkono mgombea urais Kizza Besigye
Hatua ya mwanamke mmoja msomi ya kuvua nguo nchini Uganda imezua mjadala mkali nchini humo.
Baada ya kukerwa na hatua ya kufungiwa nje ya ofisi yake na usimamizi wa chuo kikuu cha Makerere, Stella Nyanzi alivua nguo zote kama njia ya kupinga.
Hata hivyo mwishowe aliruhusiwa kuingia ofisini mwake. Wengi wa wafuasi wake wanasema kuwa alilazimishwa kufanya hivyo kutoka na yake alikuwa akitendewa.
Hata hivyo wale wanaomkosoa wanasema kwa amekiuka maadili na kwamba mwanamke hastahili kuwa uchi hadharani.
Gazeti la the New Vision nchini humo linasema kuwa waziri anayehusika na maadili anataka Nyanzi akamatwe.

tazama: Australia jino kubwa la nyangumi lapatikana.tazama picha za nyangumi na jino hapa.

Image copyright AFPMuseum Victoria
Image caption Jino hilo lilipatikana mwezi Februari
Jino kubwa la nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa thibitisho la kwanza kwamba nyangumi wakubwa hatari sana waliishi mbali na Amerika.
Mkusanyaji wa visukuku Murray Orr alipata jino hilo lenye urefu wa sentimeta 30 (inchi 12) ufukweni Beaumaris Bay karibu na mji wa Melbourne mwezi Februari.
Alilikabidhi kwa makumbusho ya Victoria, ambayo yalianza kulionesha kwa umma Alhamisi.
Inakadiriwa kwamba nyangumi mwenye jino hilo aliishi zaidi ya miaka milioni tano iliyopita. Alitoka kwa aina ya nyangumi ambao siku hizi hawapatikani duniani.
Nyangumi hao wanaaminika kuwa watangulizi wa nyangumi wakubwa wa sasa wajulikanao kwa Kiingereza kama "sperm whales".
 Nyangumi
Image copyright Dominica Sperm Whale Project
Image caption Nyangumi wakubwa baharini
Hadi kupatikana kwa jino hilo Beaumaris, visukuku vya nyangumi wakubwa vilikuwa vinapatikana pwani ya magharibi ya mabara ya Amerika Kusini na Amerika Kaskazini.
Makavazi hiyo imesema nyangumi mwenye jino hilo huenda alikuwa na urefu wa mita 18 na uzani wa tani 40.

soma hii: huko Kazakhstan Wabakaji wa watoto kuhasiwa.

Image copyright THINKSTOCK
Image caption Wanopenda ngono na watoto kuhasiwa Kazakhstan
Sheria mpya imeidhinishwa nchini Kazakhstan inayoruhusu utumiaji wa kemikali kuhasi ili kuwaadhibu watu waliopatikana na hatia ya kufanya ngono na watoto.
Hatua hiyo ni mojwapo ya sheria mpya kulinda haki za watoto.
Afisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Kazakhstani imesema kuwa visa vya watu wanaopenda kufanya ngono na watoto vimeongezeka kwa asilimia 50 mwaka uliopita.
Lakini wataalam wanasema kuwa kuhasi hakuna madhara makubwa ,hakudumu,hulazimika kurejelewa na ni ghali .

Thursday, 21 April 2016

soma hii:Vurugu kubwa zaendelea nchini Zambia

Image copyright
Polisi nchini Zambia wamesema watu wawili wamechomwa moto mjini Lusaka katika vurugu ya ubaguzi wa wenyeji dhidi ya wageni.
Watu Zaidi ya mia mbili na hamsini wamekamatwa baada ya maduka mengi yanayomilikiwa na wanyaruanda kuvamiwa.Uvamizi huo ulitokea baada ya wanyaruanda kushutumiwa kuua watu na kutumia viungo vyao kuvutia wateja.
o Padre Charles Chilinda ameiambia BBC kuwa kanisa lake linafanya jitihada zote ili kuweza kuwasaidia wahanga ambao wamekwenda kuomba hifadhi kanisani.
"Kitu ambacho tunaweza kuwapa ni kwamba watakuwa na usalama wa kutosha kuwa hapo,tutaenda kuwaangalia na kuwaeleza kuwa hawa sio wazambia ambao wanagombana nao.hali hii haikubaliki ,kila mtu aliyepo katika ardhi ya Zambia analindwa na katiba ya Zambia.Ni jukumu letu kudumisha Amani na tushirikiane katika kulitokomeza hili

Friday, 15 April 2016

hivi punde tetemeko la ardhi laua 9 huko Kumamoto Japan,soma na tazama picha

Image copyright Reuters
Image caption Uharibifu wa tetemeko la ardhi nchini Japan
Takriban watu tisa wameuwa wakati wa tetemeko kubwa la ardhi lililokumba eneo la kusini mwa Japan siku ya Alhamisi.
Tetemeko hilo lilitokea karibu na jiji la Kumamoto katika kisiwa cha Kyushu, kilomita 1,300 kusini magharibi mwa Tokyo.
Wengi wa waathiriwa ni kutoka mji wa Mashiki ambapo jengo moja liliporomoka na pia nyumba nyingi kuharibiwa.

Kote nchini humo, zaidi ya watu 40,000 waliondoka manyumbani mwao lakini baadhi yao wameanza kurudi licha ya kuwepo mitetemeko midogo midogo.
Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe amesema kwa serikali imetuma polisi, wazema moto na wanajeshi kuendesha oparesheni za uokoaji.

Wednesday, 13 April 2016

VIDEO:TAZAMA MCHUNGAJI KENYA AFUMANIWA AKIMLA URODA MKE WA MTU.

simanzi:tazama picha,Miaka miwili baada ya wale wasichana 267 waliotekwa nigeria na vipaji vyao.

Image copyright AFP
Image caption Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?
Miaka miwili iyopita wiki kama hii , wasichana 267 walitekwa nyara kutoka shuleni kwao na wanamgambo wa Boko Haram .
Suala lililolaaniwa vikali kimataifa na kuchochea kampeni ya mitandao ya kijamii iliyojulikana kama #bringbackourgirls na kuweka wazi udhalimu unaotekelezwa na makundi ya uasi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

Image caption Shule ya Chibok ilivyobakia sasa
Zaidi ya vijana 200 wa kike hawajapatikana hadi leo .Katika ripoti hii maalum mwandishi wa BBC Martin Patience alisafiri hadi Chibok kuongea na familia za wasichana na kutembelea shule ambako walitekwa nyara.

Image caption Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi
Barabara ya kuelekea Chibok imejaa vikwazo na hatari hata hivyo tulisafiri katika msafara wa magari ya kijeshi tukipitia vijiji vilivyotelekezwa .. kimoja baada ya kingine TaswiraKile kinachoonekana kama msikiti unaonekana kupigwa risasi kila mahali , Paa lake limeng'olewa ,
Hiki kilikuwa ni kijiji ambacho huenda kilikua ni makaazi ya makumi kadhaa familia , lakini kwa sasa hakuna mtu anayeishi hapa na vichaka vimemea tena kijijini hapa
Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi

Image caption Msikiti wa Chibok
Saa tatu baadae tuliwasili Chibok mahala kulikokuwa zamani soko maarufu la mji ambao kwa sasa halisikiki.CHIBOKLakini wakati huo Boko Haram walipokuja kuwateka mamia ya wasichana wa eneo hili walibaki na kumbukumbu za kutisha za usiku huo …..
Wazazi hapa wamebakia kusubiri majibu ya wapi waliko watoto wao.
Miongoni mwao ni Mariam Abubakar.
Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo

Image caption Msafara wa jeshi la Nigeria
''Msichana wangu likua mchapakazi . Alipenda utani na alipenda mavazi.''''Muda mfupi tu kabla ya kuchukuliwa alikua ameniomba nimnunulie mashine ya kushona nguo''alisema Myrama Abubakar.
Mbele ya nyumba yake ya matope Maryama alivuta nguo alizoacha binti yake .
Alichukua vazi alilolipenda na kuliweka kwenye magoti yake .

Image caption Chibok
''Hii ni gauni aliyotakiwa kuvaa kwenye harusi ya rafiki yake siku moja baada ya kumaliza mitihani .Lakini mitihani haikufanyika . Nitaitunza gauni hii mpaka atakaporudi alisema mzazi huyo.
Na baade nilizungumza na Binta AbuBakar mama yake Maryam ambaye sasa angekua na miaka 19 -

Image caption Kundi la waandishi wa habari
''Kabla ya kwenda shuleni siku ile alikua anafanya kazi katika duka angu la chakula . Aliweza kufanya mauzo ya dola hamsini! alikua mzuri sana kuwavutia wateja , alikua mfanyabiashara hodari . Hizii ndizo nyakati za mwisho nilizokua naye.Naomba binti yangu arejee akiwa hai . Lakini kama haitakua hivyo natumai roho yake italala kwa amani . Natumai kumbu kumbu za kutisha alizoziona wakati alipotekwa yatakua ndio mateso yake ya mwisho ,alisema bi AbuBakar.

Image copyright
Image caption Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo
Miaka miwili baadaye hakuna taarifa kuhusu waliko wasichana wa Chibok - Labda wako Chad ama Cameroon - kuna uwezekano mkubwa wengi wao walilazimishwa kuolewa na wapiganaji.Maisha yanaendelea kurejea taratibu katika hali ya kawaida mjini Chibok na usalama unaimarika.
Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?

simanzi:tazama picha,Miaka miwili baada ya wale wasichana 267 waliotekwa nigeria na viaji vyao.

Image copyright AFP
Image caption Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?
Miaka miwili iyopita wiki kama hii , wasichana 267 walitekwa nyara kutoka shuleni kwao na wanamgambo wa Boko Haram .
Suala lililolaaniwa vikali kimataifa na kuchochea kampeni ya mitandao ya kijamii iliyojulikana kama #bringbackourgirls na kuweka wazi udhalimu unaotekelezwa na makundi ya uasi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

Image caption Shule ya Chibok ilivyobakia sasa
Zaidi ya vijana 200 wa kike hawajapatikana hadi leo .
Katika ripoti hii maalum mwandishi wa BBC Martin Patience alisafiri hadi Chibok kuongea na familia za wasichana na kutembelea shule ambako walitekwa nyara.

Image caption Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi
Barabara ya kuelekea Chibok imejaa vikwazo na hatari hata hivyo tulisafiri katika msafara wa magari ya kijeshi tukipitia vijiji vilivyotelekezwa .. kimoja baada ya kingine
TaswiraKile kinachoonekana kama msikiti unaonekana kupigwa risasi kila mahali , Paa lake limeng'olewa ,
Hiki kilikuwa ni kijiji ambacho huenda kilikua ni makaazi ya makumi kadhaa familia , lakini kwa sasa hakuna mtu anayeishi hapa na vichaka vimemea tena kijijini hapa
Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi

Image caption Msikiti wa Chibok
Saa tatu baadae tuliwasili Chibok mahala kulikokuwa zamani soko maarufu la mji ambao kwa sasa halisikiki.
CHIBOKLakini wakati huo Boko Haram walipokuja kuwateka mamia ya wasichana wa eneo hili walibaki na kumbukumbu za kutisha za usiku huo …..
Wazazi hapa wamebakia kusubiri majibu ya wapi waliko watoto wao.
Miongoni mwao ni Mariam Abubakar.
Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo

Image caption Msafara wa jeshi la Nigeria
''Msichana wangu likua mchapakazi . Alipenda utani na alipenda mavazi.''
''Muda mfupi tu kabla ya kuchukuliwa alikua ameniomba nimnunulie mashine ya kushona nguo''alisema Myrama Abubakar.
Mbele ya nyumba yake ya matope Maryama alivuta nguo alizoacha binti yake .
Alichukua vazi alilolipenda na kuliweka kwenye magoti yake .

Image caption Chibok
''Hii ni gauni aliyotakiwa kuvaa kwenye harusi ya rafiki yake siku moja baada ya kumaliza mitihani .
Lakini mitihani haikufanyika . Nitaitunza gauni hii mpaka atakaporudi alisema mzazi huyo.
Na baade nilizungumza na Binta AbuBakar mama yake Maryam ambaye sasa angekua na miaka 19 -

Image caption Kundi la waandishi wa habari
''Kabla ya kwenda shuleni siku ile alikua anafanya kazi katika duka angu la chakula . Aliweza kufanya mauzo ya dola hamsini! alikua mzuri sana kuwavutia wateja , alikua mfanyabiashara hodari . Hizii ndizo nyakati za mwisho nilizokua naye.
Naomba binti yangu arejee akiwa hai . Lakini kama haitakua hivyo natumai roho yake italala kwa amani . Natumai kumbu kumbu za kutisha alizoziona wakati alipotekwa yatakua ndio mateso yake ya mwisho ,alisema bi AbuBakar.

Image copyright
Image caption Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo
Miaka miwili baadaye hakuna taarifa kuhusu waliko wasichana wa Chibok - Labda wako Chad ama Cameroon - kuna uwezekano mkubwa wengi wao walilazimishwa kuolewa na wapiganaji.
Maisha yanaendelea kurejea taratibu katika hali ya kawaida mjini Chibok na usalama unaimarika.
Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?

CAF kumuunga mkono INFANTINO Urais wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF linamuunga mkono Infantino Rais wa shirikisho la soka barani Africa (CAF) AHMAD AHMAD amesema shir...